Ungana nasi kwa mkusanyiko wa watalaam, mashabiki, na wale ambao wana shauku, katikati ya wasomi, utamaduni, na teknolojia.
Shiriki katika mkutano rasmi wa Wikipedia na Miradi mingine ya Wikimedia.
Achali dunia ambayo kila mwanandamu anaweza kushiriki kwa hiari katika jumla ya maarifa yote.
Mawasilisho kwa ajili ya mazungumzo na warsha kwa ajili ya Wikimania yamepitiwa!
→ Photos of Wikimania on Commons!
→ Videos of Wikimania on Youtube!
Wikimania ni mkutano wa kila mwaka wa kimataifa wa jumuiya ya Wikimedia. Wikimania inaruhusu jamii na umma kwa ujumla kujifunza juu ya na kubadilishana uzoefu na mipango ya maarifa bure duniani kote.